MADHARA YANAYOSABABISHWA BAADA YA KUENDESHA GARI MDA MREFU | mwanawakunyumba

Breaking News
Loading...

my ads

Wednesday, 26 July 2017

MADHARA YANAYOSABABISHWA BAADA YA KUENDESHA GARI MDA MREFU

Image result for HAND ON A CAR
Utafiti mpya uliofanywa umeonesha kuwa kuendesha gari kwa umbali urefu kunaweza kuleta athari kubwa kwenye ubongo na kuathiri kiwango cha IQ, wanaonya Wanasayansi.
Kwa mujibu wa Watafiti hao ni kwamba matokeo ya utafiti huo yanaweza kuelezewa kwa hoja kwamba ubongo hufanya kazi chini ya kiwango wakati wa safari ndefu.
Project hiyo ilishuhudia zaidi ya nusu milioni ya wakazi wa Briton wenye umri wa kati ya miaka 37 na 73 kufanyiwa utafiti kwa zaidi ya miaka mitano huku watu 93,000 kati yao wakikiri kuendesha 
 gari kwa zaidi ya saa mbili kwa siku ambapo
  Watafiti wamebaini sio tu kuwa husababisha kudhoofisha nguvu za ubongo lakini pia kiwango cha IQ hupungua haraka ukilinganisha na ambao hawatumii muda mrefu wakati wakiendesha.
Dr. Kishan Bakrania, kutoka University of Leicester, aliiambia The Sunday Times:>>>”Tunajua kwamba kuendesha gari kwa zaidi ya saa mbili au tatu kwa siku ni mbaya kwa moyo wako. Utafiti huu unaeleza ni hatari kwa ubongo wako pia, huenda kwa sababu hufanya kazi chini ya kiwango katika saa hizo.”

google+

linkedin

BONGOCLICK1blog
  • INAKULETEA NAFASI ZA MATANGAZO YA MASOMO KWA NGAZI ZOTE, NAFASI ZA KAZI KWA NGAZI ZOTE, HABARI MPYA NA PIA TUNATOA USHAURI NA KUPOKEA MATANGAZO YA KITAALUMA KAZI NA HABARI, WASILIANA NASI KUPITIA 0655065855 MATANGAZO YA TAALUMA KWA SH.5000 PER DAY AMBAPO LITAWAFIKIA ZAIDI YA WATU 100,000 KWA SIKU Read More

    0 comments:

    POST A COMMENT