HABARI ZA CHINI YA UVUNGU KUHUSU ZLATAN IBRAHIMOVIC WA MAN UNITED | mwanawakunyumba

Breaking News
Loading...

my ads

Friday, 28 July 2017

HABARI ZA CHINI YA UVUNGU KUHUSU ZLATAN IBRAHIMOVIC WA MAN UNITED

Image result for Zlatan IbrahimovicImage result for Zlatan Ibrahimovic
Kocha wa Man United Jose Mourinho ameripotiwa na mtandao wa dailymail kuonesha dalili za wazi kuwa Zlatan Ibrahimovic anaweza kurudi Man United na kusaini mkataba mpya, Man United hawakumuongezea mkataba mpya Zlatan wenye thamani ya pound 367,640 kwa wiki baada ya kuumia.


Zlatan baada ya kuumia mwezi April atakuwa nje ya uwanja hadi 2018 lakini Mourinho ameonesha viashiria vya kuwa kuna uwezekano wa Zlatan kurudi Man United wakati akizungumzia ishu ya kumsajili Romelu Lukaku kwa dau la pound milioni 75 dau ambalo ni kubwa.
“Tumetumia pesa nyingi kwa ajili ya mshambuliaji kwa sababu ya aina ya mshambuliaji tuliyekuwa tunamtaka na tumetumia kwa sababu ya kilichotokea kwa Zlatan hatuwezi kuruhusu kukaa miezi sita ya msimu bila kuwa na mshambuliaji mahiri” >>> Mourinho

google+

linkedin

BONGOCLICK1blog
  • INAKULETEA NAFASI ZA MATANGAZO YA MASOMO KWA NGAZI ZOTE, NAFASI ZA KAZI KWA NGAZI ZOTE, HABARI MPYA NA PIA TUNATOA USHAURI NA KUPOKEA MATANGAZO YA KITAALUMA KAZI NA HABARI, WASILIANA NASI KUPITIA 0655065855 MATANGAZO YA TAALUMA KWA SH.5000 PER DAY AMBAPO LITAWAFIKIA ZAIDI YA WATU 100,000 KWA SIKU Read More

    0 comments:

    POST A COMMENT