SABABU ILIYOPELEKEA ERICK BAILLY WA MANCHESTER UNITED KUFUNGIWA NA UEFA | mwanawakunyumba

Breaking News
Loading...

my ads

Wednesday, 26 July 2017

SABABU ILIYOPELEKEA ERICK BAILLY WA MANCHESTER UNITED KUFUNGIWA NA UEFA





Image result for ERIC BAILLY


Beki wa kimataifa wa Ivory Coast anayeichezea club ya Manchester United ya England Eric Bailly leo ametangazwa kufungiwa mechi tatu na shirikisho la soka barani Ulaya UEFA baada ya kukutwa na hatia ya kosa alilolifanya katika mchezo wa Europa League.
Eric Bailly amefungiwa mechi tatu na UEFA kwa kosa lake alilolifanya katika mchezo wa UEFA Europa League wa Man United dhidi ya Celta Vigo la kumpiga usoni John Guidetti, hata hivyo Bailly kutokana na tukio hilo alioneshwa kadi nyekundu ya moja kwa moja.
Juzi July 24 2017 UEFA wametanga kumfungia mechi tatu Bailly kutokana na kosa hilo, hivyo kutokana na adhabu hiyo aliyopewa Bailly atakosa mchezo wa Man United dhidi ya Real Madrid wa UEFA Super Cup August 8 na atakosa mchezo wa kwanza wa Champions League hiyo baada ya kukosa mchezo wa fainali ya Europa League.
Image result for ERIC BAILLY ATTACKING JOHN GUIDETTI

google+

linkedin

BONGOCLICK1blog
  • INAKULETEA NAFASI ZA MATANGAZO YA MASOMO KWA NGAZI ZOTE, NAFASI ZA KAZI KWA NGAZI ZOTE, HABARI MPYA NA PIA TUNATOA USHAURI NA KUPOKEA MATANGAZO YA KITAALUMA KAZI NA HABARI, WASILIANA NASI KUPITIA 0655065855 MATANGAZO YA TAALUMA KWA SH.5000 PER DAY AMBAPO LITAWAFIKIA ZAIDI YA WATU 100,000 KWA SIKU Read More

    0 comments:

    POST A COMMENT