WAFAHAMU WABUNGE NANE (8) WALIOTEULIWA NA NEC | mwanawakunyumba

Breaking News
Loading...

my ads

Friday, 28 July 2017

WAFAHAMU WABUNGE NANE (8) WALIOTEULIWA NA NEC

Ni siku moja baada ya Spika wa Bunge Job Ndugai kumuandikia barua Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuendelea na hatua zinazostahili kujaza nafasi za Wabunge waliofutwa uanachama na CUF kwa mujibu wa Sheria.
Jana July 27, 2017 Tume ya Taifa ya Uchaguzi ‘NEC’ imefanya uteuzi wa Wabunge 8 wa Viti Maalum ambao wataziba nafasi za Wabunge ambao wamevuliwa uanachama na Mwenyekiti wa CUF Prof. Ibrahim Lipumba.
Taarifa ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi imesema kwa mujibu wa Ibara ya 78(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977, ikisomwa pamoja na Kifungu cha 86A (8) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343, Tume ya Taifa ya Uchaguzi katika kikao chake cha July 27, 2017 imewateua wafuatao kuwa Wabunge wa Viti Maalum katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Wananchi CUF.
20286747_1560407404023248_8673638129594693375_o

google+

linkedin

BONGOCLICK1blog
  • INAKULETEA NAFASI ZA MATANGAZO YA MASOMO KWA NGAZI ZOTE, NAFASI ZA KAZI KWA NGAZI ZOTE, HABARI MPYA NA PIA TUNATOA USHAURI NA KUPOKEA MATANGAZO YA KITAALUMA KAZI NA HABARI, WASILIANA NASI KUPITIA 0655065855 MATANGAZO YA TAALUMA KWA SH.5000 PER DAY AMBAPO LITAWAFIKIA ZAIDI YA WATU 100,000 KWA SIKU Read More

    0 comments:

    POST A COMMENT