JINSI V MONEY A.K.A VANESA MDEE ALIVYOIPATA KOLABO YAKE NA P SQUARE | mwanawakunyumba

Breaking News
Loading...

my ads

Monday, 10 July 2017

JINSI V MONEY A.K.A VANESA MDEE ALIVYOIPATA KOLABO YAKE NA P SQUARE


Baada ya masaa machache Leo June 10 Vanessa Mdee ametambulisha wimbo wake mpya ambao amemshirikisha msanii wa Nigeria Peter Okoye wa kundi la P-Square. Wimbo wake huo mpya unaitwa ‘Kisela’  Vanessa Mdee ameeleza alivyoipata collabo hiyo.

Mwanadada huyoo alifunguka kwa kusema yafuatayo
Nilikuwa hotelini naingiza melodies zangu akaja PeterPsquare wa P Square na akaniomba kuingiza verse zake' ,'Nilishangaa na kufurahi kwasababu sikupata tabu ya kuanza kuomba collabo kubwa kama hii.
Alimaliza kwa kusema hayoooooooooooooooo, keep it up bibie.

google+

linkedin

BONGOCLICK1blog
  • INAKULETEA NAFASI ZA MATANGAZO YA MASOMO KWA NGAZI ZOTE, NAFASI ZA KAZI KWA NGAZI ZOTE, HABARI MPYA NA PIA TUNATOA USHAURI NA KUPOKEA MATANGAZO YA KITAALUMA KAZI NA HABARI, WASILIANA NASI KUPITIA 0655065855 MATANGAZO YA TAALUMA KWA SH.5000 PER DAY AMBAPO LITAWAFIKIA ZAIDI YA WATU 100,000 KWA SIKU Read More

    0 comments:

    POST A COMMENT