ALICHOKISEMA IDRIS SULTAN BAADA YA ZARI KUONEKANA KAMA HANA MAWAZO BAADA YA MSIBA WA MAMA YAKE | mwanawakunyumba

Breaking News
Loading...

my ads

Saturday, 22 July 2017

ALICHOKISEMA IDRIS SULTAN BAADA YA ZARI KUONEKANA KAMA HANA MAWAZO BAADA YA MSIBA WA MAMA YAKE






Baada ya Zari ambae ni Mama watoto wa mwimbaji wa Bongofleva Diamond Platnumz kufiwa na Mama yake mzazi na picha za msiba kusambaa, baadhi ya watu walianza kucomment na kupost kwenye Instagram na kusema ni msiba lakini Zari hajaonekana na sura ya majonzi.

Staa huyo alisema yafuatayo
“Fanya chochote ila usiache kulia msibani, hawa Wabongo wanahesabu hadi machozi na high tone na low tone za mlio wa Mfiwa, utasikia pale amepanda key yupo soprano anakuja base sasa hivi then sauti ya 3



google+

linkedin

BONGOCLICK1blog
  • INAKULETEA NAFASI ZA MATANGAZO YA MASOMO KWA NGAZI ZOTE, NAFASI ZA KAZI KWA NGAZI ZOTE, HABARI MPYA NA PIA TUNATOA USHAURI NA KUPOKEA MATANGAZO YA KITAALUMA KAZI NA HABARI, WASILIANA NASI KUPITIA 0655065855 MATANGAZO YA TAALUMA KWA SH.5000 PER DAY AMBAPO LITAWAFIKIA ZAIDI YA WATU 100,000 KWA SIKU Read More

    0 comments:

    POST A COMMENT