UKWELI KUHUSU DIAMOND PLATINUM NA NAY WA MITEGO | mwanawakunyumba

Breaking News
Loading...

my ads

Thursday, 29 June 2017

UKWELI KUHUSU DIAMOND PLATINUM NA NAY WA MITEGO

Image result for nay wa mitegoImage result for diamond platnumz

Kupitia chanzo kimoja cha radio jana mapema June 28, 2017 ni story ya Nay wa Mitego ambaye amekuwa akishutumiwa kuachia wimbo mpya Moto siku chache baada ya Diamond Platnumz kuutambulisha wimbo mpya pia Fire kitu ambacho kinadaiwa kuwa ni vita ya chini kwa chini.
Akizungumza kwenye kipindi hiko Nay wa Mitego amefunguka kuhusu hilo akisema sio kweli bali ni story ambazo watu wanazizungumza akidai kuwa muziki wao hauingiliani.
>>>“Hili watu wanaliletea complain na kelele za hapa na pale zitake kutuchonganisha lakini hakuna tatizo lolote. Kwa kifupi ni kwamba mimi na Chibu tuko poa hatuna tatizo lolote. Sasa hivi kila mtu ana mambo mengi. Tumeshakua, tunakutana tukiwa na vitu muhimu tunazungumza.” – Nay wa Mitego

google+

linkedin

BONGOCLICK1blog
  • INAKULETEA NAFASI ZA MATANGAZO YA MASOMO KWA NGAZI ZOTE, NAFASI ZA KAZI KWA NGAZI ZOTE, HABARI MPYA NA PIA TUNATOA USHAURI NA KUPOKEA MATANGAZO YA KITAALUMA KAZI NA HABARI, WASILIANA NASI KUPITIA 0655065855 MATANGAZO YA TAALUMA KWA SH.5000 PER DAY AMBAPO LITAWAFIKIA ZAIDI YA WATU 100,000 KWA SIKU Read More

    0 comments:

    POST A COMMENT